Description:Juzuu La PiliNa Waandishi MbalimbaliEbrahim Hussein lililofanyika mwaka 2015/16. Tunzo hiyo ilianzishwana hayati Gerald Belkin, muongoza filamu aliyekuja Tanzaniakutengeneza filamu juu ya maisha na changamoto za ujenzi waujamaa vijijini miaka ya 1960 na 1970. Belkin alifanya kazi begakwa bega na Profesa Ebrahim Hussein, mwanazuoni maarufu namwandishi wa tamthilia na mashairi. Kupitia kwa Hussein, Belkinalivutiwa na utamaduni wa Kiswahili, hususani ushairi. Katika wosiawake, kabla ya kufikwa na mauti, aliacha fungu la fedha ili zitumiwekushindanisha washairi wa Tanzania, na tunzo itolewe kwa washindiwatatu wa kwanza. Belkin alianzisha tunzo hii ili kuuenzi mchangowa rafiki yake, Ebrahim Hussein, katika kuijenga fasihi ya Kiswahili.Ebrahim Hussein ametoa mchango mkubwa katika utunzi, uchambuzina falsafa ya fasihi. Vitabu vyake, kwa mfano Kinjeketile, Mashetani,Wakati Ukuta na Kwenye Ukingo wa Thim vimebeba fikra nzito juu yamigogoro ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni inayotokanana mabadiliko ya kihistoria nchini Tanzania na barani Afrika kabla nabaada ya uhuru. Ni jambo la kusikitisha kuwa kazi hizo bora hivi leohazipatikani kwa wingi wala kufundishwa shuleni nchini Tanzania.Diwani hii ni chapisho la pili la Tunzo ya Ebrahim Hussein. Bodi yaTunzo iliamua kwamba tungo bora za shindano kwa kila awamuziwe zikichapishwa katika Diwani ili ziweze kusomwa na watu wengizaidi. Hivyo, Diwani hii maalumu ya pili ina mashairi teule ya washindina washiriki wengine wa shindano, pamoja na tafsiri za Kiingerezaza mashairi ya washindi watatu wa kwanza. Diwani nyingine zitakuwazikichapishwa kadiri shindano linavyoendelea kufanyika.Mashairi haya yametungwa na washairi mchanganyiko – vijana,watu wazima, wazee, wanawake, wanaume, wafanyakazi, wasomi,wakulima, n.k. Kwa pamoja, mashairi haya yanatusawiria hali yaTanzania na Afrika katika kipindi hiki, na kubainisha mitazamo anuaiya wananchi wa kawaida kuhusu hali hiyo na kuhusu mustakabali wanchi yao na bara lao la Afrika. Diwani hii inafaa kusomwa na watuwote wanaojali hali na hatima ya Mwafrika.We have made it easy for you to find a PDF Ebooks without any digging. And by having access to our ebooks online or by storing it on your computer, you have convenient answers with Diwani ya Tunzo ya Ushairi ya Ebrahim Hussein 2. To get started finding Diwani ya Tunzo ya Ushairi ya Ebrahim Hussein 2, you are right to find our website which has a comprehensive collection of manuals listed. Our library is the biggest of these that have literally hundreds of thousands of different products represented.
Description: Juzuu La PiliNa Waandishi MbalimbaliEbrahim Hussein lililofanyika mwaka 2015/16. Tunzo hiyo ilianzishwana hayati Gerald Belkin, muongoza filamu aliyekuja Tanzaniakutengeneza filamu juu ya maisha na changamoto za ujenzi waujamaa vijijini miaka ya 1960 na 1970. Belkin alifanya kazi begakwa bega na Profesa Ebrahim Hussein, mwanazuoni maarufu namwandishi wa tamthilia na mashairi. Kupitia kwa Hussein, Belkinalivutiwa na utamaduni wa Kiswahili, hususani ushairi. Katika wosiawake, kabla ya kufikwa na mauti, aliacha fungu la fedha ili zitumiwekushindanisha washairi wa Tanzania, na tunzo itolewe kwa washindiwatatu wa kwanza. Belkin alianzisha tunzo hii ili kuuenzi mchangowa rafiki yake, Ebrahim Hussein, katika kuijenga fasihi ya Kiswahili.Ebrahim Hussein ametoa mchango mkubwa katika utunzi, uchambuzina falsafa ya fasihi. Vitabu vyake, kwa mfano Kinjeketile, Mashetani,Wakati Ukuta na Kwenye Ukingo wa Thim vimebeba fikra nzito juu yamigogoro ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni inayotokanana mabadiliko ya kihistoria nchini Tanzania na barani Afrika kabla nabaada ya uhuru. Ni jambo la kusikitisha kuwa kazi hizo bora hivi leohazipatikani kwa wingi wala kufundishwa shuleni nchini Tanzania.Diwani hii ni chapisho la pili la Tunzo ya Ebrahim Hussein. Bodi yaTunzo iliamua kwamba tungo bora za shindano kwa kila awamuziwe zikichapishwa katika Diwani ili ziweze kusomwa na watu wengizaidi. Hivyo, Diwani hii maalumu ya pili ina mashairi teule ya washindina washiriki wengine wa shindano, pamoja na tafsiri za Kiingerezaza mashairi ya washindi watatu wa kwanza. Diwani nyingine zitakuwazikichapishwa kadiri shindano linavyoendelea kufanyika.Mashairi haya yametungwa na washairi mchanganyiko – vijana,watu wazima, wazee, wanawake, wanaume, wafanyakazi, wasomi,wakulima, n.k. Kwa pamoja, mashairi haya yanatusawiria hali yaTanzania na Afrika katika kipindi hiki, na kubainisha mitazamo anuaiya wananchi wa kawaida kuhusu hali hiyo na kuhusu mustakabali wanchi yao na bara lao la Afrika. Diwani hii inafaa kusomwa na watuwote wanaojali hali na hatima ya Mwafrika.We have made it easy for you to find a PDF Ebooks without any digging. And by having access to our ebooks online or by storing it on your computer, you have convenient answers with Diwani ya Tunzo ya Ushairi ya Ebrahim Hussein 2. To get started finding Diwani ya Tunzo ya Ushairi ya Ebrahim Hussein 2, you are right to find our website which has a comprehensive collection of manuals listed. Our library is the biggest of these that have literally hundreds of thousands of different products represented.